Kiongozi wa kamati ya majadiliano upande wa Serikali, Waziri wa Sheria na Katiba Prof Palamagamba Kabudi (kulia) na uongozi wa kampuni ya TanzaniteOne wakiingia Ikulu kwa ajili ya kutia saini makubaliano ya uendeshaji wa shughuli za uchimbaji madini hayo (kushoto) ni Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya TanzaniteOne Hussein Gonga.
Kiongozi wa kamati ya majadiliano upande wa Serikali, Waziri wa Sheria na Katiba Prof Palamagamba Kabudi kushoto na Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya Tanzanite, Faisal Shabhai kwa pamoja wapeana mikono baada ya kuweka saini hati ya makubaliano ya kampuni hiyo kuilipa serikali na mikataba mingine ya madini.

Kiongozi wa kamati ya majadiliano upande wa Serikali, Waziri wa Sheria na Katiba Prof Palamagamba Kabudi kushoto na Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya Tanzanite, Faisal Shabhai kwa pamoja wakiweka saini maridhiano ya kampuni hiyo kuilipa serikali na mikataba mingine ya madini.

No comments:
Post a Comment