Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi (kushoto) akifurahia jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson
Kamoga, kwenye nyumba ya jamii ya wabantu kituo cha pembe nne za utamaduni Haydom
(4CCP), kulia ni mwakilishi wa jamii hiyo Salimu Shabani.
No comments:
Post a Comment