Tuesday 27 October 2015

NI MILLYA SIMANJIRO



Mbunge mteule wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara James Kinyasi Ole Millya

Friday 23 October 2015

KAMPENI ENDIAMTU

 Katibu uchumi na fedha wa CCM Mkoani Manyara, Lucas Zacharia ambaye ni mgombea udiwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro akiwa na mkewe Beatrice Lucas kwenye kampeni ya kuomba kura ya udiwani

Katibu uchumi na fedha wa CCM Mkoani Manyara, Lucas Zacharia ambaye ni mgombea udiwani wa Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro akiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo

Tuesday 20 October 2015

KAMPENI YA CCM KATA YA ENDIAMTU



Wakereketwa, wapenzi na wananchama wa CCM Kata ya Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye kampeni ya kumnadi mgombea udiwani Lucas Chimba Zacharia

Sunday 11 October 2015

Thursday 1 October 2015

MWENGE WA UHURU MKOANI MANYARA



Mara baada ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru tulipoukimbiza Mkoani Manyara



Wakimbiza mwenge kitaifa Karim Haruna (kushoto) na Arnold Litimba wakikagua zao la kitunguu kwenye kijiji cha Gunge Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, mara baada ya mwenge wa uhuru kutembelea wilayani humo



Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Juma Khatibu Chum akizindua mradi wa barabara ya Bassodesh-Mulbadaw jana Wilayani Hanang' Mkoani Manyara.