Tuesday 28 May 2013

RIP MANGWEA

                            RIP COW BAMA

                              RIP ALBERT MANGWEA

                        RIP COW BOY WA EAST ZUU

Wednesday 8 May 2013

JK ZIARA YAKE ARUSHA

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Liberatus Materu Sabas alipofika kutoa pole kwa wahanga waliopigwa na bomu jumapili iliyopita kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti jijini Arusha.

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mmoja kati ya majeruhi wa bomu lililopigwa jumapili iliyopita kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti jijini Arusha.

POLE

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mmoja kati ya majeruhi wa bomu lililopigwa jumapili iliyopita kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti jijini Arusha.