Monday, 30 June 2014

TUMEELEZWA MAFUNZO YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JUU YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, wakiwa kwenye kikao jana mjini Babati na ujumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahamoud Hamid, ambapo walipatiwa elimu ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu.
.

TUNAANGALIA BONANZA LA WAANDISHI ARUSHMgeni Rasmi katika Bonanza la Vyombo vya Habari mkoani Arusha, Juma Pinto wa pili kushoto, akifuatilia michezo iliyokua inaendelea kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wengine kushoto ni Le Mutuz, Mkurugenzi wa Mireranitanzanite.blogspot, Joseph Lyimo na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mega Trade, Goodluck Kway.

Sunday, 29 June 2014

NACHANGIA DAMUMkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoniani Manyara, Japhary Matimbwa akichangia damu kwenye kituo cha Afya Mirerani, ambapo katika zoezi la kuchangia damu lita tatu pekee zilipatikana baada ya watu watatu kujitokeza kuchangia damu (kushoto) ni mtaalamu wa maabara wa kituo hicho, Dr Fanuel Laizer. 


MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Friday, 27 June 2014

MADEREVA WA BODABODA WALIPOGOMAAskari Polisi Jamii wa Tarafa ya Moipo  Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, AS/INSP Amiri Mlemba, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo cha polisi Mirerani wakipinga kutozwa fedha na maofisa biashara wa wilaya hiyo.
Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha na maofisa biashara wa wilaya hiyo.
Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Kibanda, akizungumza na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha na maofisa biashara wa wilaya hiyo.