Monday, 19 March 2012

WanaApolo

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wanaApolo wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara

PICHA YA MTOTO WA MBUZI MWENYE MIGUU NANE NA MIKONO NANE

Wakazi wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara wakishangaa mtoto wa mbuzi (Mbalelo) ambaye alizaliwa akiwa na miguu minne na mikono minne hata hivyo mbuzi huyo alikufa

Saturday, 3 March 2012

AFYA UTATANI

DR.Haleluya Mushi Kimboka akionyesha maji yaliyotuama muda mrefu kwenye eneo la kituo cha kupima afya za binadamu 
Mama Gift akiwa anatimiza siku 40 baada ya kumzaa Andrew