Tuesday, 28 August 2012

Thursday, 16 August 2012

MWENGE

Mama yeyoo mkazi wa mji mdogo wa Orkesumet mkoani Manyara akipokea mwenge wa uhuru ulipofika wilayani humo ukitokea wilayani Kiteto

Monday, 13 August 2012

FATHE GASTO NA ZAWADI YA GARI

Father Gasto Sinkala akikabidhiwa gari lake aina ya Suzuki Escudo alilopewa na wakazi wa mji mdogo wa Mirerani Wilaya y a Simanjiro Mkoani Manyara

Friday, 10 August 2012

LOWASSA NA SENDEKA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara Christopher Ole Sendeka

Friday, 3 August 2012

WAANDISHI NA RC KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na waandishi wa habari