WANANCHI WA NAMALULU WATOA KERO KWA DC WA SIMANJIRO
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephania
Chaula akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Namalulu Kata ya Naberera, baada
ya Esupat Laizer kulalamikia changamoto ya maji, wizi wa punda na migogoro ya ardhi
No comments:
Post a Comment