Wednesday, 12 July 2017

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHANDISI HAMAD MASAUNI AKAMILISHA ZIARA YAKE MANYARA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya Ofisa uhamiaji wa Mkoa wa Manyara, Naibu Kamishna wa Uhamiaji Juliette Sagamiko alipotembelea ofisi zao na kukagua jengo la uhamiaji ambalo ujenzi wake unakaribia kumalizika ila umesimama katikati ni Kamanda wa polisi wa mkoa huo Kamishna msaidizi Francis Massawe.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, Kamishna msaidizi Francis Massawe alipotembelea jengo la polisi la mkoa huo ambalo ujenzi wake umesimama.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Masauni akiwasili kwenye ofisi za kikosi cha zimamoto na uokoaji Mkoani Manyara na kupokelewa na kamanda wa mkoa huo Heriel Kimaro
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, Kamishna msaidizi (ACP) Francis Massawe alipotembelea ofisi za polisi za mkoa huo

No comments:

Post a Comment