Ofisa wa Polisi Jamii Tarafa ya Moipo,Wilayani
Simanjiro Mkoani Manyara Mkaguzi Msaidizi,Amiri Mlemba akitoa elimu ya ulinzi
shirikishi na polisi jamii katika dhana ya utii wa sheria bila shuruti kwenye shule
ya msingi Jitegemee iliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani humo.
No comments:
Post a Comment