Tuesday 5 March 2013

AKIWA NA NAIBU WAZIRI



Marehemu Benson Mollel ambaye alikuwa Meneja msaidizi wa mgodi wa Mathias Manga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani akiwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini) Stephen Maselle alipotembelea mgodi wao,marehemu Ben ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Baraza la UVCCM Taifa kupitia mkoa wa Arusha anazikwa leo nyumbani kwao kata ya Lemara.

No comments:

Post a Comment