Diwani
wa Kata ya Mogitu Wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara,Leonard Gapchojiga
akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya
hiyo,kilichopitisha bajeti ya sh33.511 bilioni ya mwaka wa fedha wa
2013/2014.Picha na Joseph Lyimo
No comments:
Post a Comment