Tuesday, 5 March 2013

ULINZI SHIRIKISHI



Mkuu wa Kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,ASP Ally Mohamed Mkalipa akitoa elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii katika dhana ya utii wa sheria bila shuruti kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mirerani.

No comments:

Post a Comment