Mkuu
wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Brigedia Jenerali Cosmas Kayombo
akizungumza na wajumbe wa eneo tengefu la Mirerani baada ya kukagua mfereji wa
D’Souza wa machimbo ya madini ya Tanzanite uliogharimu sh330 milioni (kulia) ni
Mbunge wa Jimbo hilo Christopher Ole Sendeka na Kamishna wa madini Kanda ya
kaskazini Benjamin Mchwampaka.
No comments:
Post a Comment