MWENYEKITI HANANG'
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani
Manyara,Anju Mang’ola akifunga kikao cha Baraza la Madiwani ambapo
walipitisha bajeti ya mwaka wa fedha wa 2013/2014 ya sh33.511 bilioni (kushoto)
ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Felix Mabula.
No comments:
Post a Comment