Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara,Felix Mabula
akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya
hiyo,ambapo walipitisha bajeti ya shilingi Bilioni 33,511,872,144 kwa mwaka wa
fedha wa 2013/2014 (kulia) ni Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Anju Mang’ola.
No comments:
Post a Comment