Marehemu Benson Mollel (26) (wa pili kulia) ambaye
alikuwa Meneja wa mgodi wa Mathias Manga kwenye madini ya Tanzanite Mji mdogo
wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara na pia Mjumbe wa Baraza Kuu la
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) amefariki dunia Machi 3 mwaka
huu kwenye chumba cha hoteli ya Lush Garden Business ya Mtaa wa Jacaranda
jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment