Marehemu Benson Mollel (kushoto) ambaye alikuwa Meneja msaidizi
wa mgodi wa Mathias Manga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa
Mirerani akiwa na Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Brigedia Jenerali
Cosmas Kayombo alipotembelea mgodi wao,marehemu Ben ambaye pia alikuwa Mjumbe
wa Baraza la UVCCM Taifa kupitia mkoa wa Arusha anazikwa leo nyumbani kwao kata
ya Lemara.
No comments:
Post a Comment