Saturday 2 March 2013

DT HANANG'


Mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara Godfrey Machumu akisoma taarifa ya mpango wa utekelezaji wa bajeti ya sh33.511 bilioni ya mwaka wa fedha wa 2013/2014 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo.

No comments:

Post a Comment