Monday, 4 March 2013

MATREKTA


Mbunge wa Jimbo la Hanang’ Mkoani Manyara,Dk Mary Nagu ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) akiwasha moja kati ya matrekta zaidi ya 66 aliyowawezesha wakazi wa wilaya hiyo kupitia mkopo wa Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT)

No comments:

Post a Comment