AKIZAMIA MGODINI
Marehemu Benson Mollel ambaye alikuwa Meneja msaidizi
wa mgodi wa Mathias Manga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa
Mirerani akiwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini) Stephen Maselle na
msimamizi wa mgodi huo Othman Miraji wakishuka mgodini kwao,marehemu Ben ambaye
pia alikuwa Mjumbe wa Baraza la UVCCM Taifa kupitia mkoa wa Arusha anazikwa leo
nyumbani kwao kata ya Lemara
No comments:
Post a Comment