Saturday, 25 February 2012

WANA KIJIJI SUKURU

Wakazi wa kijiji cha Sukuro kata ya Komolo wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara,wakimsikiliza Waziri wa TAMISEMI George Huruma Mkuchika juu ya mgogoro wa Kijiji cha Kitiangare

No comments:

Post a Comment