Friday, 10 February 2012

MATEMBEZI YA CCM

Add caption
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara Christopher Ole Sendeka akiwa na Mlezi wa CCM mkoani Manyara,Mohamed Seif Khatib,Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo,Lucas Ole Mukusi na wakereketwa wengine wa chama hicho huku ulinzi ukiimarishwa na OCD wa Simanjiro SSP Shomari kwenye maazimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa CCM kimkoa yalifanyika kijiji cha Landanai kata ya Orkesumet

No comments:

Post a Comment