Saturday, 25 February 2012

RC NA KIKAO CHA WADAU WA ELIMU KITETO MANYARA

Mkuu wa mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akizungumza kwenye kikao cha wadau wa elimu wa wilaya ya Kiteto mkoani Manyara,(kushoto) ni mkuu wa wilaya ya Kiteto Frank Uhahula na kushoto kwa mkuu wa mkoa ni Katibu wake,Abass Kanyanda na Ofisa Elimu Taaluma wa mkoa huo,Silvan Tairo

No comments:

Post a Comment