Waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara wakishiriki kwenye mafunzo ya kuandaa makala yaliyoandaliwa na Muungano wa klabu za waandishi wa habari nchini UTPC na kuendeshwa na mkutubi wa SAUTI Peter Mataba na kusimamiwa na Makamu wa Rais wa UTPC Zilipa Joseph mafunzo hayo yalianza Februari 9 na yatamalizika Februari 11 mjini Babati
No comments:
Post a Comment