Saturday, 25 February 2012

Diwani wa Kata ya Naberera Sumleck Ole Sendeka akizungumza kwenye kikao cha wadau wa elimu juu ya tatizo la upungufu wa mabweni kwa shule za sekondari wilayani humo hadi kusababisha mdororo wa mahudhurio mashuleni kwani wanafunzi wengi hutembea umbali mrefu kutoka nyumbani hadi shuleni

No comments:

Post a Comment