Mkurugenzi wa asasi ya Good Hope ya mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,Mheshimiwa Dorah Mushi akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali mshiriki wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na asasi hiyo kwa udhamini wa mradi wa Chiyofa kupitia asasi ya FIC ya nchini Denmark (katikati) ni Mratibu wa Chiyofa,Samson Kube na msaidizi Alex Mushi. |
No comments:
Post a Comment