Monday, 20 February 2012

MTOTO WA JEREMIA SUMARI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM ARUMERU MASHARIKI

Du utakuwa mchuano mkali wa kugombea ubunge Arumeru Mashariki kama ikiwa hivi hapa Kamanda Joshua Nasari wa Chadema na hapa Sioi Sumary wa CCM kwani Sioi ameshinda kura za maoni za CCM zilizofanyiaka Usa River kwa kupata kura 361,akifuatiwa na William Sarakikya aliyepata kura 259 na Elirehema Kaaya aliyepata kura 205

No comments:

Post a Comment