Saturday, 25 February 2012

MAMA YEYO WAKIUZA MAZIWA,UGORO NA TUMBAKU

Kina mama wa jamii ya kifugaji wa kimasai (mama yeyoo) wakiwa mji mdogo wa Orkesumet wilayani Simanjiro mkoani Manyara wakiuza maziwa,tumbaku na ugoro

No comments:

Post a Comment