Saturday 25 February 2012

MFUGAJI KWENYE KIKAO CHA WADAU WA ELIMU KITETO

Mkazi wa kata ya Sunya wilayani Kiteto mkoani Manyara,Joseph Lemomo akizungumza juu ya tatizo la mwamko mdogo wa jamii ya wafugaji katika kusomesha watoto wa kike kwenye kikao cha mkuu wa mkoa huo Elaston Mbwilo na wadau wa elimu wilayani humo

No comments:

Post a Comment