Sunday, 12 February 2012

MAMEC WAFANYA UCHAGUZI

Wanachama wa chama cha waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara MAMEC wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kufanya uchaguzi mjini Babati.Februari 12 mwaka huu,aliyevishwa taji ni Benny Mwaipaja (Mwenyekiti wa MAMEC) kulia kwake ni Zacharia Mtigandi (Katibu) watatu ni mjumbe wa kamati tendaji na mmiiliki wa mireranaitanzanite.blog.com Joseph Lyimo.

No comments:

Post a Comment