Saturday, 25 February 2012

MKUCHIKA NA WANA KIJIJI WA SUKURO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Kapteni Mstaafu Mh.George Huruma Mkuchika akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Sukuru na vitongoji vya katikati na Kitiangare wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuhusiana  na mgogoro wa kitongoji cha Katikati,kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Manyara,Elaston Mbwilo na kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh.Christopher Olonyokie Olonyori Ole Sendeka na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Mh.Peter Tendee. 

No comments:

Post a Comment