Mkazi wa kijiji cha Mtakuja kata ya Kia,Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na punda wake wakati akichota maji kwenye eneo la Kia,jamii nyingi za wafugaji zinapata shida kubwa ya maji kutokana na wengi wao kuishi kwenye maeneo yao ambayo ni ya ukame
No comments:
Post a Comment