Sunday, 12 February 2012

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Manyara MAMEC,Benny Mwaipaja akimpongeza mmiliki wa mireranitanzanite.blog.com Joseph Lyimo ambaye alichaguliwa kuwa Mjumbe wa kamati tendaji ya MAMEC kwenye uchaguzi uliofanyika Februari 12 mjini Babati,kulia ni Makamu Mwenyekiti wa MAMEC Mary Margwe na katikati ni Katibu msaidizi Fortunatha Ringo.

No comments:

Post a Comment