Sunday, 12 February 2012

Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara,MAMEC,Benny Mwaipaja akipongezwa na  wananchama wa MAMEC baada ya kuchaguliwa kwa kura 13 za ndiyo kati ya kura 15 kwenye uchaguzi wa chama hicho uliofanyika Februari 12 mjini Babati,wengeni kutoka kushoto ni Mohamed Hamad aliyechaguliwa kuwa Mweka hazina msaidizi,Grace Msovela Mjumbe wa Kamati tendaji,Mary Margwe Makamu Mwenyekiti na Abraham Mlundi Mjumbe wa Kamati tendaji.

No comments:

Post a Comment