WAHITIMU 220 WA MGAMBO BASSOTU WAPATIWA AJIRA SUMA JKT
Mkuu wa Wilaya ya
Hanang Mkoani Manyara, Sarah Ally Msafiri, akikagua gwaride kwa wahitimu 120 wa
mafunzo ya mgambo kwenye Kata ya Bassotu, ambapo wamepatiwa ajira za kudumu
kwenye shirika la Suma JKT.
No comments:
Post a Comment