Sunday, 10 February 2013

UZINDUZI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani David Hayes (wa pili kushoto) Balozi wa Marekani Nchini,Alfonso Lenhardt na viongozi wengine wakizindua jumuiya ya jamii ya hifadhi ya wanyamapori ya Burunge MWA iliyopo kijiji cha Olasiti Kata ya Nkaiti,Tarafa ya Mbugwe,Wilaya ya Babati Mkoani Manyara ambapo jumuiya tano nchini zilizinduliwa.

No comments:

Post a Comment