Watoto July Helmiut (kushoto) na John Helmiut
kutoka nchini Brazil wakitumia likizo ya shule juzi kwa kutembelea Hifadhi ya
Taifa ya Tarangire Wilayani Babati Mkoani Manyara,hapa wakiwaangalia tembo
wakubwa kuliko wote duniani waliopo kwenye
hifadhi hiyo. |
No comments:
Post a Comment