Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
Mkoani Manyara,Peter Tendee akifungua kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri
hiyo ambapo juzi walipitisha bajeti ya sh14.991 bilioni kwa mwaka wa 2013/2014
(kulia) ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Patrice Saduka na Mwenyekiti wa CCM wa
Mkoa huo,Lucas Ole Mukus. |
No comments:
Post a Comment