Saturday 2 February 2013

MDAHALO

Mkazi wa Kijiji cha Balang’dalalu,Wilaya ya Hanang’ Christopher Digai akizungumza kwenye mdahalo wa jinsia na maendeleo ulioandaliwa na Mtandao wa asasi za kiraia Mkoani Manyara (Macsnet) na kufadhiliwa na The Foundation for Civil Society

No comments:

Post a Comment