Sunday 10 February 2013

NAIBU WAZIRI MAREKANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Marekani,David Hayes akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jumuiya ya hifadhi ya jamii ya wanyamapori ya Burunge uliofanyika katika kijiji cha Olasiti Kata ya Nkaiti Tarafa ya Mbugwe Wilayani Babati Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment