Sunday 10 February 2013

BALOZI WA MAREKAN

Balozi wa Marekani nchini,Alfonso Lenhardt akizungumza wakati wa uzinduzi wa jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori ya Burunge iliyopo kwenye kijiji cha Olasiti Kata ya Nkaiti,Tarafa ya Mbugwe,Wilaya ya Babati Mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment