Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mkoani
Arusha,Joshua Nassari akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Boniface
Gadi mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite,ambaye alifariki dunia kwa kuangukiwa
na ngema na kuzikwa Mbuguni wilayani Arumeru. |
No comments:
Post a Comment