Wednesday 6 February 2013

SIKU YA SHERIA JK NA MTIKILA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman

No comments:

Post a Comment