Saturday 2 February 2013

MGERNI RASMI MDAHALO

Ofisa Tarafa ya Katesh Wilaya ya Hanang’ Zuwena Omary akizungumza kwenye mdahalo wa jinsia na maendeleo uliofanyika kwenye kijiji cha Balang’dalalu na kuandaliwa na Mtandao wa asasi za kiraia Mkoani Manyara Macsnet.

No comments:

Post a Comment