Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mkoani
Arusha,Joshua Nassari akiwana na baadhi ya wachungaji kwenye mazishi ya
marehemu Boniface Gadi mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite,ambaye alifariki
dunia kwa kuangukiwa na ngema katika machimbo ya Tanzanite Mji mdogo wa
Mirerani na kuzikwa Mbuguni wilayani Arumeru. |
No comments:
Post a Comment