Friday, 15 February 2013

AJALI YA MOTO

Wakazi wa kitongoji cha Songambele Sokoni,Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiangalia ajali ya moto iliyounguza nyumba na pia kumuunguza mfanyabiashara wa mafuta ya petroli Maulid Ibrahim (18)  mjini humo.

No comments:

Post a Comment