Diwani wa kata ya
Naisinyai Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,Clemp Ole Kinoka akisoma maazimio
ya kamati ya Elimu,Afya na Maji,kwenye Baraza la Madiwani wa wilaya hiyo
(kushoto) ni Diwani wa kata ya Naberera,Sumleck Ole Sendeka na Diwani wa kata
ya Oljoro Namba tano,Julius Lesakwi. |
No comments:
Post a Comment