Thursday, 3 April 2014

MBIU YA JAMII YAINGIA KWENYE BARAZA LA MBULU

Mkurugenzi wa gazeti la Mbiu ya Jamii, Amani Paul Gaseri Nanagi, akizungumza kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, wakati akitambulisha gazeti hilo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Paul Zacharia Isaay akisoma gazeti la Mbiu ya Jamii, kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, wakati gazeti hilo likitambulishwa kwenye Baraza hilo, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Fortunatus Fwema.

Mkurugenzi wa gazeti la Mbiu ya Jamii, Amani Paul Gaseri Nanagi, akizungumza kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, wakati akitambulisha gazeti hilo.

No comments:

Post a Comment