Wanakwaya
wa Mtakatifu Cecilia wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa
Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani
Manyara, wakiimba baada ya kumaliza misa ya Pasaka kanisani hapo jana.
Padri Modestus Makiluli, wa Kanisa Katoliki Parokia
ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani
Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,akiendesha misa ya ubatizo na komuniyo
kwenye kanisa hilo wakati wa sikukuu ya Pasaka, Aprili 20.
Bwana
harusi Ladslaus Manyanya (kulia) na mkewe Patricia Magero, (wa pili
kulia) wakiwa na wapambe wao baada ya kufunga ndoa jana kwenye sikukuu ya
pasaka katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
No comments:
Post a Comment